Similar services
Posted: 05 Jan 2017
Location: Africa
CIVIL AND BUILDING CONSTRUCTION WORKS
Posted: 22 Dec 2016
Location: Africa
AREA OF EXPERIENCE COOLING SYSTEM Installation and fitting of all type of cooling system We hel...
Posted: 30 Nov 2016
Location: Africa
Web Studio Limited is a small web/creative agency born 2006 in Dar es salaam, Tanzania focused on de...
Posted: 29 Nov 2016
Location: Africa
PRAM is a Leader in Enterprise Document Management. We offer Training and Consultancy in Informatio...
Posted: 29 Nov 2016
Location: Africa
PRAM is a global training and consultancy which specializing in providing enterprise document manage...
602 views
Semina ya Ujasiriamali kila jumamosi
Back
Posted: 30 Dec 2015 10:40
Category: Other
Person Type: Organisation
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Description
 Kampuni ya CPM Business consultants itaendesha semina ya ujasiriamali kuhusu mbinu za kisasa za kupata pesa na utajiri, kila siku ya jumamosi kuanzia  tarehe 2/1/2016, saa 4 asubuhi, katika ukumbi wa Hawaii Kimara Baruti, kiingilio ni sh. 20,000 kwa kila mshiriki. Muwezeshaji wa semina hiyo atakuwa Bwana Charles Nazi, Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri.
Mada zifuatazo zitatolewa;
-Jinsi ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi inayoikumba nchi yetu na hasa tatizo la ajira.
-Jinsi ya kuchagua aina ya biashara ya uhakika itakayokuingizia pesa haraka na kuwa mfanya biashara mwenye mafanikio.
- Namna ya kuwa muwekezaji na kuanza kuwekeza mara moja hata kama huna kipato kikubwa, pia utaonyeshwa fursa za uwekezaji kwa wajasiriamali wadogo na wa kati na wakubwa.
- Fursa zingine za kuingiza kipato zitatolewa wale watakaohudhuria semina hiyo.

Tafadhali tuma ujumbe huu kwa watu wote
Kwa maelezo zaidi na kuthibitisha kuhudhuria semina piga simu namba 0784394701 au 0755394701
Contacts
Contact Person: CHARLES NAZI
Phone: 255755394701
Skype: cnazi2002
©2016 East Africa Business Portal All Rights Reserved
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with eastafricatender.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>