Similar products
Category: Other Business & Industrial
Aluminium Sulphate Non ferric grade, Powder 50 mesh to 100 mesh size, Lumps 5 mm to 15 mm, 30 mm t...
Category: Building Materials & Supplies
Strong, Beautiful , Durable chipping blocks.
Category: Building Materials & Supplies
Mashine ya tofali inayodumu kwa bei rahisi.
Category: Other Business & Industrial
Product Name : Peanut Butter (FMCG) Brand Name : Pintola Bran...
Category: Other Business & Industrial
customer service training(world class standards) Team building training peak performance training
60 views
Semina ya ujasiriamali kila juma mosi
Back
Posted: 30 Dec 2015 10:35
Category: Business, Office & Industrial | Other Business & Industrial
Address: Dar es Salaam, Tanzania
FOB price: 20000 TZS / Piece
Min. order quantity: 1 Piece(s)
Location on the map
Description
 Kampuni ya CPM Business consultants itaendesha semina ya ujasiriamali kuhusu mbinu za kisasa za kupata pesa na utajiri, kila siku ya jumamosi kuanzia tarehe 2/1/2016,kuanzia saa 4 asubuhi, katika ukumbi wa Hawaii Kimara Baruti, kiingilio ni sh. 20,000 kwa kila mshiriki. Muwezeshaji wa semina hiyo atakuwa Bwana Charles Nazi, Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri.
Mada zifuatazo zitatolewa;
-Jinsi ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi inayoikumba nchi yetu na hasa tatizo la ajira.
-Jinsi ya kuchagua aina ya biashara ya uhakika itakayokuingizia pesa haraka na kuwa mfanya biashara mwenye mafanikio.
- Namna ya kuwa muwekezaji na kuanza kuwekeza mara moja hata kama huna kipato kikubwa, pia utaonyeshwa fursa za uwekezaji kwa wajasiriamali wadogo na wa kati na wakubwa.
- Fursa zingine za kuingiza kipato zitatolewa wale watakaohudhuria semina hiyo.

Tafadhali tuma ujumbe huu kwa watu wote
Kwa maelezo zaidi na kuthibitisha kuhudhuria semina piga simu namba 0784394701 au 0755394701
Contacts
Name: CHARLES NAZI
Phone: 255755394701
©2016 East Africa Business Portal All Rights Reserved
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with eastafricatender.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>