Similar products
Category: Other Business & Industrial
Aluminium Sulphate Non ferric grade, Powder 50 mesh to 100 mesh size, Lumps 5 mm to 15 mm, 30 mm t...
Category: Building Materials & Supplies
Strong, Beautiful , Durable chipping blocks.
Category: Building Materials & Supplies
Mashine ya tofali inayodumu kwa bei rahisi.
Category: Other Business & Industrial
Product Name : Peanut Butter (FMCG) Brand Name : Pintola Bran...
Category: Other Business & Industrial
customer service training(world class standards) Team building training peak performance training
60 views
Business Consultancy
Back
Posted: 30 Dec 2015 10:28
Category: Business, Office & Industrial | Other Business & Industrial
Address: Dar es Salaam, Tanzania
FOB price: 20000 TZS / Piece
Min. order quantity: 1 Piece(s)
Location on the map
Description
Kampuni ya CPM Business Consultants ni kampuni inayojishughulisha na kutoa ushauri wa biashara kwa wajasiriamali wadogo na wa kati SMEs pamoja na NGOs, SACCOS. Sasa hivi tumeboresha hudumazetu. Huduma za ushauri tunazozitoa ni kama zifuatazo
1..Kutoa ushauri wa biashara Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa,
2.Kuandaa michanganuuo kwa ajili ya kuomba mikopo benki na misaada kutoka kwa wafadhili.
3.Kutoa mafunzo ya Ujasiriamali kwa wafanyabiashara.
4.Kulea nakusimamia biashara hadi ikue (Mentorship)
5.Kuandaa katiba za vyama na nyaraka za uandikishaji wa makampuni na usajili wa majina ya biashara
6.Kufanya uchunguzi wa tuhuma za rushwa,ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka.
7.Usajili wa NGOs na SACCOS.
8.Kutangaza biashara yako.
9.Kuuza vitabu vya ujasiriamali, Mbinu za biashara1 na 2
10.Ushauri wa namna ya kutunga vitabu na kuviuza.
11. Ushauri wa namnaya kuendesha biashara ya mtandao (Network marketing)
12.Ushauri wa namna ya kuendesha biashara kwenye mtandao wa internet.
13. Kusimamia biashara yako kwenye mitandao yakijamii ( Social Media management)
Kwa maelezo zaidi na ukihitaji huduma zetu piga simu namba 0784394701 
Contacts
Name: CHARLES NAZI
Phone: 255755394701
©2016 East Africa Business Portal All Rights Reserved
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with eastafricatender.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>