Similar jobs
Posted: 03 Dec 2016
Salary: Negotiable
Location: Rwanda, Kigali
High school diploma or GED; 4 years experience in the event management, food and beverage, sales and...
Posted: 29 Nov 2016
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
This position r,equires a Master's Degree in education, preferably with a specialty in early childho...
Posted: 26 Nov 2016
Salary: Negotiable
Location: South Sudan,
A minimum of a Degree in education field or other social sciences or equivalent from a reputable edu...
Posted: 24 Nov 2016
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
• MD, AMO or RN with 2-5 years of experience working in RCH, HIV/AIDS programs and international hea...
Posted: 24 Nov 2016
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Singida
holder of a bachelor degree
1048 views
katibu wa elimu, uimarishaji na utangazaji wa chama
Back
Posted: 05 Oct 2016 08:58
Deadline: 21 Oct 2016
Category: Education & Training
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Experience: From 2 year(s)
Education: Bachelor
Salary: Negotiable
About Company: Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi
Email: info@cotwu.com
Phone: +255 (25) 2503304
Contact name: MD
File: Download
Requirements
Awe Mtanzania
Awe na umri usiozidi miaka 45
Awe na Shahada au Stashahada ya Elim u,
maendeleo ya Jam ii, Sheria na Ustawi wa jamii
kutoka chuo kinachotambulika
Awe na uzoefu katika masuala ya Vyama vya
Wafanyakazi kwa muda usiopungua miaka
miwili(2}
Mwanachama wa COTWU (T) atapewa
klpaumbele zaidi
Conditions
N/A
Responsibilities
Kuandaa/kutengeneza Mpango wa Mafunzo
ya Eli mu kwa ajlll ya wafanyakazi/wanachama
waCOTWU(T) Sherla za Kazi Kuratlbu shughuli zote za Elimu/mafunzo, uimarishaji na utangazaji wa Chama sehemu
za kazi/matawini ya COTWU (T)
-Kufanya utafiti, kukusanya na kuchambua
makala mballmbali na kutoa mafunzo/elimu'
sehemu za kazi matawi ya COTWU (T).
-Kuimarisha Kamati za Wanawake na Vijana
ndani ya Chama
-Kuimarisha Mikataba ya Utambuzi, Mikataba
ya Hali Bora na Mabaraza ya Wafanyakazi
-Kumshauri Katibu Mkuu kuhusu mas.ua la ya
Elimu/mafunzo, utangazaji na uimarishaji wa
Chama.
©2016 East Africa Business Portal All Rights Reserved
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with eastafricatender.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>