Similar companies
Songea is the capital of the Ruvuma Region in southeastern Tanzania.[1] It is located along the A19...
a UNAMID peacekeeper from Ethiopia was injured when unidentified armed men opened fire at (IDPs) gat...
South Sudan spreads over 644,000 km square at the meeting point between the Horn of Africa and the c...
The United Nations Office at Geneva (UNOG) is the second-largest of the four major office sites of t...
Tanga is both the name of the most northerly seaport city of Tanzania, and the surrounding Tanga Reg...
185 views
HALMASHAURI YA WILA YA YA BAGAMOYO
Back
Posted: 09 Jan 2016 09:52
Category: Government & Development
Location: Africa , Tanzania
Address: Tanzania
Phone: N/A
Description
Bagamoyo iko kati ya miji ya kale kabisa ya Waswahili katika Tanzania. Maghofu ya Kaole (msikiti na makaburi ya karne ya 13 BK) yako karibu na Bagamoyo yakionyesha umuhimu wa utamaduni wa Kiislamu katika eneo hili. Lakini hakuna uhakika kuhusu historia ya Bagamoyo ya kale isipikuwa ya kwamba mnamo karne ya 18 mji haukuwa muhimu. Wakazi walio wengi wakati ule walikuwa wavuwi na wakulima, palikuwa na biashara kiasi cha samaki na chumvi.
Location on the map:
©2016 East Africa Business Portal All Rights Reserved
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with eastafricatender.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>