Similar companies
Tanzania Fertiliser Regulatory Authority (TFRA) was established under the fertilizer Act No. 9 of 20...
Agricultural development organization –ADO has been operating in Somalia since 1993 and ha s respo...
Weigh Bridge Tech Africa Group Limited is a preferred provider of weighing products in Africa. With...
The Agriculture Markets Development Trust (AMDT) is a Tanzanian-owned trust established to support b...
Zamura Feeds is a Rwandan Livestock feed processing company whose goal is to improve farm output and...
6867 views
TANZANIA AGRICULTURAL SOCIETY (TASO)
Back
Posted: 15 Jun 2016 11:54
Category: Agribusiness
Location: Africa , Tanzania
Address: Unnamed Road, Tanzania
Contact Name: MD
Description
Katika Miaka ya 1960 na 1970 Sherehe za Sikukuu ya Wakulima zilikuwa zinasherehekewa katika Wilaya zote za Mikoa iliyolima pamba (na mazao ya chakula) kuzunguka Ziwa Viktoria.  Mikoa hiyo ni pamoja na Mwanza, Shinyanga Mara, Kagera na Tabora.  Sherehe hizi zilikuwa zinaandaliwa na kusimamiwa moja kwa moja na Vyama Vikuu vya Ushirika na zilikuwa zinaadhimishwa tarehe 8 mwezi wa 8 kila mwaka na kujulikana kama Nane Nane. 
Location on the map:
©2017 BIZCYCLONE Portal All Rights Reserved
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with eastafricatender.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>